ZIJUE NDOTO NA MAANA ZAKE:
NDOTO:
Ndoto ni sehemu ya maono yaliyopo kwenye fikra,roho na mwili ambavyo huchambuliwa kwenye ubongo na kuleta picha ambazo huja wakati mtu akiwa kalala na kumsaidia kupumzika au kumsumbua kushindwa kulala na kukosa raha ya usingizi inategemea na ndoto inatoka wapi na chini ya nani?
Ifuatayo ni list ya ndoto na maana zake:
WINGI WA WATU- Tamaa ya Uhuru
AJARI: Utatokewa na jambo ambalo hukupanga wala kutegemea.
MUIGIZAJI KIKE/KIUME: Una tamaa ya kujulikana.

UZINZI: Utakutwa na hatia au kusingiziwa hatia.
NDEGE: Utasafiri kwa ndege hivi karibuni.
MADHABAHU: Utajitoa kwa hali na mali.
NANGA: Unatamani kukaa kwako/utapata nyumba yako.
UMEGEUKA KUA JINSIA ISIYO YAKO: huwa unajichunguza sana mwili wako acha
MNYAMA : Inategemea mahusiano uliyonayo kwa mnyama huyo kama ni fisi basi unabebwa kichawi na kama ni unaempenda basi utaanza kupendwa na watu hovyo.
IMANI KALI: Kujaliwa elimu ya kiroho na mwenyezi Mungu.
APPLE: Utakuwa mwenye tamaa sana na kuumia.
MSHALE: Utasifiwa na kutakaswa na watu.
MNADA: Utaahidiwa mengi na watu.
GARI: Karibia. Unapata kusafiri
MTOTO: Mateso,kulia huzuni mahangaiko na uvumilivu vyote unaenda kukutana navyo
BALUNI: Utakatishwa tamaa na kila mtu vumilia.
KAMBI: Utaenda kuishi au kufanya kazi kwenye kambi ya wakimbizi.
VITA: Mpango wako utafanikiwa hivi karibuni
BAISKELI: Utafanya kazi ngumu zitakazo kuletea matunda
NDEGE: Unaenda kubadilikiwa na maisha kutoka hali moja kwenda nyingine.
KUZAA: Unaanzisha kila kitu upya makazi,mavazi na malazi.
DARAJA: Utashinda mitego yako na mafanikio ya kamari.
UFAGIO: Unaenda kuwa mfanyakazi wa ndani au kuolewa na kukaa ndani tu.
NG'OMBE: Unaenda kuonekana mkaidi na mjeuri usieelewa chochote hali ya kuwa utajiona unajua
KUZIKWA: Mwisho wa safari moja na kuanza nyingine kama kuhama makazi,kuacha kazi, kuvunja ndoa n.k.
MSHUMAA: Nyakati zako zinaenda kubadlika usiku unakuwa mchana mchana unakuwa usiku.
MUWA AU GONGO: Umefikia muda unahitaji msaada anza kuomba msaada au unaharibikiwa
MJINI: Utasafiri kwenda sehemu ambayo hujawahi kuiona.
NGOME: Tamaa ya mafanikio na utukufu vinakusumbua.
SHIMO: Kujifunga kwa mambo yako yote anza kufanya ibada au tafuta waganga wakusaidie.
MZUNGUKO: Ukamilifu na kufanikisha mambo bila kutegemea anza kucheza bahati nasibu.
MIJI: Unaelekea kupata kipato cha kukuinua usichezee ndio mara ya mwisho kupata ushindi huo.
KUPANDA: Kuinuka kimtaji au biashara au kupanda cheo kazini.
SAA: Muda unakuishia fanya kila unachoweza sasa hivi kabla ya kujuta .
NGUO: Kupanda chati kama nguo chafu, kama safi kufilisika kama zimechanika mikosi
Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA.
Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k
3. Kuokota pesa za sarafu za zamani.
4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa.
5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike ilhali si mjamzito, au mwanaume kuota mpenzi wake amejifungua mtoto wa kike.
6. Umekuwa rais au mtu mkubwa na watu wanakushangilia na kukuheshimu
7. Umepanda mlima mrefu sana kwa tabu na ukafika kileleni juu kabisa, ulipofika ukajikuta una hamu ya kukaa huko na usirudi tena ulikotoka.
NDOTO ZA DALILI MBAYA

1. UNAHESABU PESA
Nyota yako ya utajiri imeshaibiwa na wachawi.
Nyota yako ya utajiri imeshaibiwa na wachawi.
2. UNAWAONA WATU WALIOKUFA
Tayari na wewe unaandamwa na roho ya umauti, unatafutwa kuuawa kivyoyote.
Tayari na wewe unaandamwa na roho ya umauti, unatafutwa kuuawa kivyoyote.
3. UMEYARUDIA MAISHA YA UTOTONI AU UNASOMA SHULE WAKATI USHAMALIZA ZAMANI
Unafuatiliwa na roho ya kuanguka, ni dalili ya kufungwa na roho za mizimu na mababu.
Unafuatiliwa na roho ya kuanguka, ni dalili ya kufungwa na roho za mizimu na mababu.
4. UNAFUKUZWA NA MAADUI
Wachawi wanakutumia kwenye mambo yao pasipo wewe kujijua.
Wachawi wanakutumia kwenye mambo yao pasipo wewe kujijua.
5. UNAKULA USINGIZINI/NDOTONI
Umepandikizwa roho za kichawi na za mizimu mwilini mwako.
Umepandikizwa roho za kichawi na za mizimu mwilini mwako.
6. UNAFANYA MAPENZI
Unamilikiwa na jini mahaba.
NYOKA MWEUSI
~Ni jini ambaye ametumwa na wachawi na amekuingia mwilini
Unamilikiwa na jini mahaba.
NYOKA MWEUSI
~Ni jini ambaye ametumwa na wachawi na amekuingia mwilini
NYOKA ANAPAA ANGANI
~Ni jini aliyetumwa kwako kichawi, ni aina ya Twayyaara na amekuingia mwilini
~Ni jini aliyetumwa kwako kichawi, ni aina ya Twayyaara na amekuingia mwilini
KUFUKUZWA NA NYOKA
Unaandamwa na adui wa kichawi ambaye anatumia majini mabaya kukuangamiza
Unaandamwa na adui wa kichawi ambaye anatumia majini mabaya kukuangamiza
NGAMIA
Ni jini mkubwa mwenye nguvu katika majini.
Ni jini mkubwa mwenye nguvu katika majini.
NGAMIA AMEKUSIMAMIA NYUMA:
~Bado hajakuingia mwilini mwako ingawa anakuwinda.
~Bado hajakuingia mwilini mwako ingawa anakuwinda.
NGAMIA AMEKUSIMAMIA MBELE:
~Tayari ameshakuingia mwilini
~Tayari ameshakuingia mwilini
FARASI AU PUNDA
Ni jini ambaye hajatumwa na mtu yeyote, ila amekuingia mwilini kwa kukupenda, au kwa sababu anazozijua mwenyewe.
Ni jini ambaye hajatumwa na mtu yeyote, ila amekuingia mwilini kwa kukupenda, au kwa sababu anazozijua mwenyewe.
MBWA AU MBWA MWITU
Ni jini mbaya sana ambaye amekuingia, ana madhara makubwa kwa mwili na afya yako, lakini jini huyu ni dhaifu sana kwa mbinu wanazotumia majini, ukipata tabibu mzuri ni rahisi kuondoka.
Ni jini mbaya sana ambaye amekuingia, ana madhara makubwa kwa mwili na afya yako, lakini jini huyu ni dhaifu sana kwa mbinu wanazotumia majini, ukipata tabibu mzuri ni rahisi kuondoka.
SAMAKI AU CHOCHOTE CHA BAHARINI
Ni jini Ghawwaas, anapenda kuishi sehemu zenye majimaji kama bahari, chemchem, mito, madimwi na mabwawa na amekuingia mwilini.
Ni jini Ghawwaas, anapenda kuishi sehemu zenye majimaji kama bahari, chemchem, mito, madimwi na mabwawa na amekuingia mwilini.
SOKWE, NYANI, AU NGEDERE
Ni jini ambaye amekuingia na kuweka uchawi mwilini, ni majini wanaopenda sana kufanya mikataba ya makubaliano ya kuwatumikia wachawi katika kazi mbalimbali, lakini ni jini muoga sana anapokutana na wataalam wa tiba.

SIMBA
Ni jini kafiri, mkorofi na jeuri, ana madhara makubwa kwa mgonjwa na mtabibu, kama mtabibu si mjuzi wa kutosha
Ni jini kafiri, mkorofi na jeuri, ana madhara makubwa kwa mgonjwa na mtabibu, kama mtabibu si mjuzi wa kutosha
JINSIA ZA BINADAMU
Unafanya mapenzi na mtu unayemjua au humjui, iwe mpo katika furaha, huzuni.
Huyo ni jini mahaba.
ALIYEKUFA ANASWALI
Unafanya mapenzi na mtu unayemjua au humjui, iwe mpo katika furaha, huzuni.
Huyo ni jini mahaba.
ALIYEKUFA ANASWALI
Zimemfikia thawabu za matendo yake aliyokuwa akiyatenda duniani enzi za uhai wake.
ALIYEKUFA ANAKUAMBIA UTAKUFA
Wakati mwingine kauli yake huwa ni kweli,
Wakati mwingine kauli yake huwa ni kweli,
MLANGO UNAANGUKA
Muotaji ataugua kwanza halafu atapona.
Muotaji ataugua kwanza halafu atapona.
UNAFUNGA MLANGO WA NYUMBA YAKO
Utampa talaka mke wako.
Utampa talaka mke wako.
MSUMARI AU DARAJA
Mtu anayesaidia watu katika kutatua matatzo yao
Mtu anayesaidia watu katika kutatua matatzo yao
KUPANDA NGAZI, MBAO AU MOTA
Utapata cheo, hadhi kubwa duniani
Utapata cheo, hadhi kubwa duniani
NYUMBA YAKO IMETEKETEZWA
Utasumbuliwa na wenye mamlaka au ugonjwa wa mlipuko.
Utasumbuliwa na wenye mamlaka au ugonjwa wa mlipuko.
ALIYEKUFA ANAKUPA MAWAIDHA AU ANAKUFUNDISHA
Utapata wema katika dini yako kwa kiasi cha mawaidha uliyopewa.
Utapata wema katika dini yako kwa kiasi cha mawaidha uliyopewa.
UNAMUOA MWANAMKE ALIYEKUFA
Utafanya jambo litakalokufanya ujute.
Utafanya jambo litakalokufanya ujute.
UNAFUFULIWA (PEKE YAKO AU NA WENGINE)
Wewe ni dhalimu.
Wewe ni dhalimu.
UMEINGIA JEHANNAM
Utafanya madhambi makubwa, aliyesababisha uingie motoni ndiye atakayekupeleka kwenye mambo machafu.
Utafanya madhambi makubwa, aliyesababisha uingie motoni ndiye atakayekupeleka kwenye mambo machafu.
JINI AMESIMAMA KARIBU NA NYUMBA YAKO
-Udhalili (unyonge)
-Hasara
-Nadhiri uliyoiweka
-Udhalili (unyonge)
-Hasara
-Nadhiri uliyoiweka
MAJINI WAMEINGIA NYUMBANI KWAKO NA KUFANYA MAMBO
-Wezi wataingia nyumbani kwako na kukudhuru.
-Maadui zako watavamia nyumba yako.
-Wezi wataingia nyumbani kwako na kukudhuru.
-Maadui zako watavamia nyumba yako.
MSICHANA AMEJIPAMBA KIISLAM
Utaskia habari zitakazokufurahisha katika njia ambayo hukuitegemea.
Utaskia habari zitakazokufurahisha katika njia ambayo hukuitegemea.
MSICHANA YUPO UCHI
Utapata hasara katika biashara zako.
Utapata hasara katika biashara zako.
UNACHIMBA KABURI
Utajenga nyumba.
Utajenga nyumba.
UMESIMAMA JUU YA UKUTA
Hadhi na nafasi yako.
Hadhi na nafasi yako.
UKUTA UNAPOROMOKA
Utakuwa ni kiongozi wa uharibifu.
Utakuwa ni kiongozi wa uharibifu.
KUUZA NYUMBA
Kufikia kikomo cha maisha.
Kufikia kikomo cha maisha.
KUBEBA MLIMA
Utabebebshwa mizigo mikubwa na watu wakorofi na wakali.
Utabebebshwa mizigo mikubwa na watu wakorofi na wakali.
UNAPANDA KUELEKEA SEHEMU YA JUU
Kupata heshima, kutukuzwa na kupanda cheo.
Kupata heshima, kutukuzwa na kupanda cheo.
MIAMBA NA MAWE
Ugumu wa moyo, ukorofi, ukatili na kiburi.
Ugumu wa moyo, ukorofi, ukatili na kiburi.
CHANGARAWE
Usengenyaji na kutoa shutuma dhidi ya mtu fulani.
Usengenyaji na kutoa shutuma dhidi ya mtu fulani.
MCHANGA, VUMBI AU UDONGO UNAKURUKIA
Utakuwa tajiri jitume sana katika kazi zako.
Utakuwa tajiri jitume sana katika kazi zako.
UNATEMBEA JUU YA MCHANGA AU KUOKOTA MCHANGA
Utafanya kazi ngumu za sulubu ili kuwa na mali.
Utafanya kazi ngumu za sulubu ili kuwa na mali.
MCHANGA AU VUMBI KURUKA HEWANI AU MBINGUNI.
Mambo yatavurugika.
Mambo yatavurugika.
MTOTO WA KIUME
Ni adui dhaifu ambaye atakuja kama rafiki kisha atadhihirisha uadui wake.
Ni adui dhaifu ambaye atakuja kama rafiki kisha atadhihirisha uadui wake.
KWENU KUMEZALIWA WATOTO WENGI WA KIUME.
Majonzi na huzuni.
Majonzi na huzuni.
AJUZA AMEJIPAMBA NA AMEJIFUNUA
Utapata dunia yako na biashara za haraka
Utapata dunia yako na biashara za haraka
AJUZA AMEKUNJA USO
Kuondoka kwa daraja ya juu kwa mambo yako ya kidunia
Kuondoka kwa daraja ya juu kwa mambo yako ya kidunia
AJUZA ANA SURA MBAYA
Mambo yako yatageuka
Mambo yako yatageuka
AJUZA YUPO UCHI
Kufedheheka.
Kufedheheka.
USO WAKO NI MWEUSI KULIKO SEHEMU ZINGINE
Mkeo atazaa mtoto wa kike
Mkeo atazaa mtoto wa kike
UMEKATWA SHINGO KWA UPANGA NA USIYEMJUA
Utapona ugonjwa, utalipa deni, utahiji, utashinda vita, utapata faraja.
UMEKATWA SHINGO NA UNAYEMJUA
Vyote vitapitia kwake.
Vyote vitapitia kwake.
MWANAMKE KUOTA AMENYOLEWA
Ni ishara ya kifo au ataachwa
Ni ishara ya kifo au ataachwa
MWANAMKE KUOTA AMENYOLEWA NA MUMEWE
Mumewe atamfungia nyumbani kwake, hakika ndege hubakia kiotani wakati amenyonyolewa mbawa zake
Mumewe atamfungia nyumbani kwake, hakika ndege hubakia kiotani wakati amenyonyolewa mbawa zake
UNASIKILIZA KWA MACHO NA KUONA KWA MASIKIO
Utampelekea binti yako au mkeo kufanya maasi
Utampelekea binti yako au mkeo kufanya maasi
KIGANJA CHAKO KINA JICHO AU NYAMA
Utapata mali
Utapata mali
KUANGUKA KISIMANI
Utakumbwa na huzuni na masikitiko mwishowe utapata furaha
Utakumbwa na huzuni na masikitiko mwishowe utapata furaha
KUZAMA KWENYE MAJI SAFI YA BAHARI
Utazama katika mambo ya utawala na serikali.
Utazama katika mambo ya utawala na serikali.
KUZAMA KWENYE MAJI MACHAFU YA BAHARI
Utapata tabu itakayokusababishia kuangamia
Utapata tabu itakayokusababishia kuangamia
MWANAMKE ASIYEOLEWA KUOTA ANA NDEVU
-Hatozaa milele.
-Maradhi ambayo yatampata siku za usoni.
-Ziada ya mali ya mumewe na utukufu wa mwanawe wa kiume.
-Hatozaa milele.
-Maradhi ambayo yatampata siku za usoni.
-Ziada ya mali ya mumewe na utukufu wa mwanawe wa kiume.
MWANAMKE ALIYEOLEWA KUOTA ANA NDEVU
Mumewe kuondoka
Mumewe kuondoka
MWANAMKE MJAMZITO KUOTA ANA NDEVU
Atazaa mtoto wa kiume na litatimia jambo lake
Atazaa mtoto wa kiume na litatimia jambo lake
MWANAMKE KUOTA ANA NDEVU ZIMEREFUKA NA KUWA NYINGI
Umri wake utakuwa mrefu na mali yake itazidi
kuongezeka
Umri wake utakuwa mrefu na mali yake itazidi
kuongezeka
UNA MASKIO MATATU
Mke mmoja na mabinti wawili
Mke mmoja na mabinti wawili
UNA SIKIO NUSU
Kifo cha mkeo na utaoa mwingine baada yake
Kifo cha mkeo na utaoa mwingine baada yake
UNA MASIKIO MANNE
-Utakuwa na wake wanne
-Mabinti wanne wasiokuwa na mama
-Utakuwa na wake wanne
-Mabinti wanne wasiokuwa na mama
MASIKIO YAKO YAMEJAZWA VITU NDANI YAKE
Utakufuru
Utakufuru
MENO YANAVUNJIKA
Utalipa deni kidogokidogo
Utalipa deni kidogokidogo
MENO YANADONDOKA NA UNAHISI MAUMIVU
Kuondokewa na kitu katika vitu vilivyomo ndani mwako
Kuondokewa na kitu katika vitu vilivyomo ndani mwako
MENO YAKO YA MBELE TU YANADONDOKA
Unazuiwa kufanya jambo lako ulilokuwa ukilifanya aidha kwa vitendo au maneno
Unazuiwa kufanya jambo lako ulilokuwa ukilifanya aidha kwa vitendo au maneno
KITU KINATOKA MDOMONI MWAKO
Utapata riziki, iwe ya halali au haramu.
Utapata riziki, iwe ya halali au haramu.
UNA ULIMI MREFU
Kushinda katika ufasaha wa kuongea na adabu yako, upole na utukufu.
Kushinda katika ufasaha wa kuongea na adabu yako, upole na utukufu.
ULIMI WAKO UMEFUNGWA
Ufukara na maradhi
Ufukara na maradhi
UNA MENO MEUPE NA MAZURI
Nguvu na mali ya daraja ya juu kwa watu wa nyumbani mwako
Nguvu na mali ya daraja ya juu kwa watu wa nyumbani mwako
MWENYE ELIMU AKIOTA ANA MENO YA DHAHABU
Sifa nzuri.
Sifa nzuri.
ASIYE NA ELIMU AKIOTA ANA MENO YA DHAHABU
-Shari
-Watu wake watapata maradhi au kuangamia.
-Shari
-Watu wake watapata maradhi au kuangamia.
UNA MENO YA FEDHA
Kupata hasara katika mali yako,
Kupata hasara katika mali yako,
UNA MENO YA KIOO
Umauti.
Umauti.
UNALISHA MASKINI
Utatoka kwenye majonzi na utapata amani kama ulikuwa na hofu.
Utatoka kwenye majonzi na utapata amani kama ulikuwa na hofu.
UNASWALI KATIKA ALKAABA
-Utapata baadhi ya watukufu na viongozi
-Utapata amani na kheri.
-Utapata baadhi ya watukufu na viongozi
-Utapata amani na kheri.
UMEKUFA NA KUFUFUKA
Utafanya madhambi na utamuomba Mungu msamaha.
Utafanya madhambi na utamuomba Mungu msamaha.
UNAKUFA BILA KUUMWA
Umri wako utakuwa mrefu.
Umri wako utakuwa mrefu.
UMEKUFA, WATU WANAOMBELEZA NA KUKUFANYIA SHUGHLI ZA MAZISHI
Dunia yako itakuwa nzuri lakini ahera yako imeharibika.
Dunia yako itakuwa nzuri lakini ahera yako imeharibika.
MAITI INAJIOSHA YENYEWE
Watu wako watatoka kwenye majonzi na mali yao itazidi
Watu wako watatoka kwenye majonzi na mali yao itazidi
UNAONA SANDA
Zinaa
Zinaa
SANDA IMEVISHWA LAKINI HAIJAKAMILIKA UVAAJI WAKE
Utatiwa kwenye zinaa lakini hutokubali
Utatiwa kwenye zinaa lakini hutokubali
UMEFUNGWA KWENYE SANDA VILEVILE KAMA MAITI
Kifo chako.
Kifo chako.
UPO KWENYE JENEZA
Utajenga udugu na mtu kwa ajili ya Mungu
Utajenga udugu na mtu kwa ajili ya Mungu
UPO KWENYE JENEZA NA WATU WAMELIBEBA
Utatawala na kupanda daraja na watu watakufuata kama ulivyowaona ndotoni
Utatawala na kupanda daraja na watu watakufuata kama ulivyowaona ndotoni
UMEBEBA MAITI
Utapata mali ya haramu
Utapata mali ya haramu
UNAMPELEKA MAITI SOKONI
Utapata mahitaji yako na faida kwenye biashara zako
Utapata mahitaji yako na faida kwenye biashara zako
JENEZA LINAPITA HEWANI
Atakufa mtu mwenye cheo kikubwa katika nchi
Atakufa mtu mwenye cheo kikubwa katika nchi
UMEKUFA NA UNAZIKWA
Utasafiri safari ya mbali na utapata mali
Utasafiri safari ya mbali na utapata mali
UMEMFUFUA MAITI
Utamshuhudia mtu wa dini nyingine kuwa dini yako, au mtu muovu atatubia dhambi zake kwako
Utamshuhudia mtu wa dini nyingine kuwa dini yako, au mtu muovu atatubia dhambi zake kwako
DADA YAKO ALIYEKUFA ANAISHI
Utajiwa na mgeni kutoka safarini na utafurahi
UNAKULA KABEJI
Utajiwa na mgeni kutoka safarini na utafurahi
UNAKULA KABEJI
utapata maradhi ya kujitakia.
UNAONA KARANGA
vurugu haziishi nyumbani
vurugu haziishi nyumbani
UMEVAA NGUO MPYA
utazawadiwa
utazawadiwa
UMEVAA NGUO NYEUSI
utapata mikosi.
utapata mikosi.
UMEVUA NGUO SAFI
utapata hasara
utapata hasara
UMEVUA NGUO CHAFU
mikosi ita kuondoka.
mikosi ita kuondoka.
UMEVAA NGUO ZILIZOCHANIKA
tapatwa na aibu
tapatwa na aibu
UMEVAA NGUO ZA MAPAMBO/MAUA
utapata furaha.
utapata furaha.
UNAENDESHA KIGARI CHA FARASI
utakua ombaomba.
utakua ombaomba.
UNACHOMA MKAA
utaoa mwanamke alie achika.
utaoa mwanamke alie achika.
UMEPATA MKAA
una maadui wa kisirisiri.
una maadui wa kisirisiri.
UMEONA MAHINDI
utapata faida katika shughuli zako
utapata faida katika shughuli zako
UPO KATIKA UKUMBI WA MUZIKI
utapata habari nzuri toka kwa rafiki yako wa karibu.
utapata habari nzuri toka kwa rafiki yako wa karibu.
KIZA KINENE
utadanganywa au utatapeliwa.
utadanganywa au utatapeliwa.
MFUNGWA KUOTA GIZA KISHA MWANGA
atafunguliwa
atafunguliwa
AMBAYE SI MFUNGWA KUOTA GIZA KISHA MWANGA
mambo yake yatafunguka.
mambo yake yatafunguka.
UKO MSIBANI
harusi, ikijirudiarudia una jini maiti.
harusi, ikijirudiarudia una jini maiti.
JINI LIMEKUDHURU AU UMELIOGOPA KUPITA KIASI
kuna hatari mbeleni.
kuna hatari mbeleni.
UNACHIMBA SHIMO KISHA LIKAPOTEA
kukosa mazao, utafukuzwa kazi, kukosa mvua.
kukosa mazao, utafukuzwa kazi, kukosa mvua.
UNATUMBUKIA SHIMONI
utapata mikosi na utateseka sana kimaisha.
utapata mikosi na utateseka sana kimaisha.
UNAVUKA MTO KWA KUTUMIA GOGO
utapata watetezi katika mambo yako, utashinda kesi kwa msaada wa mtu.
utapata watetezi katika mambo yako, utashinda kesi kwa msaada wa mtu.
UMEMUONA DRAGON
utapata utajiri kwa njia za kishirikina
utapata utajiri kwa njia za kishirikina
MWANAUME AKIOTA NGUO YA KIKE IMEANIKWA
atapatwa na mabalaa.
atapatwa na mabalaa.
UNAKUNYWA MAJI KWA MKONO WA KUSHOTO WAKATI JUA LINACHOMOZA
utapata maradhi.
utapata maradhi.
UNALEWA POMBE KUPITA KIASI
-utapata marafiki wa maana
-mafanikio kimapenzi.
-utapata marafiki wa maana
-mafanikio kimapenzi.
UNAZAMA NDANI YA MAJI
kupata mikosi.
kupata mikosi.
UNAMUONA MTU ANAZAMA NDANI YA MAJI
mikosi yako itaisha.
mikosi yako itaisha.
UNAONA FUNZA
kaa chonjo kuna maadui.
kaa chonjo kuna maadui.
UNAKULA
mikosi.
mikosi.
UNALISHWA KITU
ni kweli umelishwa.
ni kweli umelishwa.
UMEKUFA KWA KUPIGANIA DINI
amali zako ni njema.
amali zako ni njema.
UNAKUNYWA MAZIWA
utapata mafanikio.
utapata mafanikio.
MKEO ANA MATITI MAKUBWA
utapata mafanikio.
utapata mafanikio.
MWEZI UNANG'AA
utapata furaha na mafanikio
utapata furaha na mafanikio
UMEPOTEZA PESA
utapata hasara kibiashara.
utapata hasara kibiashara.
UMEPATA HELA
mafanikio ila si kuokota.
mafanikio ila si kuokota.
UNAOKOTA HELA
utapata mikosi.
utapata mikosi.
UMEKUNJA CHUMA
umewashinda maadui.
umewashinda maadui.
NYOTA INANG'AA WAKATI HUO UNA MCHUMBA
mtafarakana na mchumba wako.
mtafarakana na mchumba wako.
NYOTA IMEANGUKA
afya njema.
afya njema.
UMEMUONA BATA MZINGA
ndoa yenu ni ya mafanikio na mtapata watoto wengi.
ndoa yenu ni ya mafanikio na mtapata watoto wengi.
UNANG'OKA JINO
utapoteza rafiki wa karibu.
utapoteza rafiki wa karibu.
UMENG'OKA MENO YA MBELE
utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukia.
utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukia.
UNAKUNYWA MAJI MASAFI
utapata furaha.
utapata furaha.
UNAKUNYWA MAJI MACHAFU
matatizo yanakunyemelea.
matatizo yanakunyemelea.
UNAONA MAMBA
utapata maumivu.
utapata maumivu.
UNACHOMWA MWIBA
utapoteza pesa.
utapoteza pesa.
RADI INAPIGA
mafanikio katika biashara.
mafanikio katika biashara.
RADI IMEKUPIGA
umekumbwa na jini.
umekumbwa na jini.
UMEMUONA KOBE
biashara zako zitaenda polepole
biashara zako zitaenda polepole
UNAKULA KOBE
mtarekebisha tofauti zenu za ndoa.
mtarekebisha tofauti zenu za ndoa.
MWANAMKE ALIYEACHIKA AKIOTA ANANYONYESHA
mikosi.
mikosi.
MGONJWA AKIOTA ANAFUNGA NDOA NA MWANAMKE ALIYEACHIKA
atakufa.
atakufa.
UNALIA
ni furaha na upendo.
ni furaha na upendo.
MGONJWA AKIOTA ANAMUOA MSICHANA ASIYEOLEWA
atapona
atapona
UNAONA KARATASI NYEUPE
utapata mke wa maana na watoto wa heri.
utapata mke wa maana na watoto wa heri.
UNACHANA KARATASI
utaendekeza umalaya.
utaendekeza umalaya.
UNATEMBEA BARABARA ILIYONYOOKA
mafanikio mbele yako, afya njema.
mafanikio mbele yako, afya njema.
MWANAUME AKIOTA ANAMUONA TAUSI
atapata mke mzuri na atatajirika.
atapata mke mzuri na atatajirika.
MWANAMKE AKIOTA ANAMUONA TAUSI
atapata mwanamme tajiri ila ni mwongo mwongo.
atapata mwanamme tajiri ila ni mwongo mwongo.
UNAMWONA BUNDI
mikosi na vifungo
mikosi na vifungo
NJEGERE ZIMEPIKWA
mafanikio.
mafanikio.
UNAKULA MKAA
utapata mikosi.
utapata mikosi.
UNAONA VITUNGUU
utapata habari njema.
utapata habari njema.
MWANAUME AKIOTA ANAONA VITUNGUU
atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
UNACHIMBA KABURI
-jini maiti,
-kuna tabia unayoifanya si nzuri itakuingiza katika wakati mgumu.
-jini maiti,
-kuna tabia unayoifanya si nzuri itakuingiza katika wakati mgumu.
UNALIMA KWA NG'OMBE
mafanikio.
mafanikio.
WATU WANALIMA KWA NG'OMBE LAKINI ZINAZAMA
mavuno mabaya.
mavuno mabaya.
WATU WANALIMA JUU YA MLIMA
utapoteza mifugo.
utapoteza mifugo.
UMEPEWA TUNDA DAMU CHACHU
utagombana na rafiki yako.
utagombana na rafiki yako.
TAJIRI AKIOTA ANASALI
furaha
furaha
MASIKINI AKIOTA ANASALI
matatizo na mikosi.
matatizo na mikosi.
MWANAUME AKIOTA ANACHOTA MAJI KISIMANI
ataoa.
ataoa.
MWANAMKE AKIOTA ANACHOTA MAJI KISIMANI
ataolewa.
ataolewa.
UNAKUNYWA WISKI
mikosi, mabalaa, majuto.
mikosi, mabalaa, majuto.
UPEPO WA KIMBUNGA
utaoa mke mwenye makelele.
utaoa mke mwenye makelele.
TAJIRI AKIOTA AMEBEBA MBAO
mikosi
mikosi
MASIKINI AKIOTA AMEBEBA MBAO
bahati.
bahati.
UNAANDIKA
jihadhari na kauli zako.
UNAPIGA MIAYO
rafiki zako wamekuchoka.
rafiki zako wamekuchoka.
UNAONA KITU CHOCHOTE CHA NJANO
mafarakano katika mapenzi yenu.
mafarakano katika mapenzi yenu.
UNAMUONA PUNDAMILIA
kua mwangalifu katika maisha yako.
kua mwangalifu katika maisha yako.
WATU WANAPIGA TARUMBETA
utapata mikosi na matatizo.
utapata mikosi na matatizo.
UNAONA NDIMU
utapata ugomvi au kutukanwa.
utapata ugomvi au kutukanwa.
UNAONA MWANAMKE BIKRA
utapata habari njema.
utapata habari njema.
MASIKINI AKIOTA ANATAPIKA
atapata pesa
atapata pesa
TAJIRI AKIOTA ANATAPIKA
atafilisika.
atafilisika.
VITA
matatizo na huzuni.
matatizo na huzuni.
UNAMUONA MAMA MKWE
utaugua.
utaugua.
UNAONGEA NA MAMA YAKO VIZURI
uta fanikiwa kwa lolote.
uta fanikiwa kwa lolote.
MPISHI YUKO NDANI YA NYUMBA
-utaoa mwanamke wa maana
-matatizo yataondoka.
-utaoa mwanamke wa maana
-matatizo yataondoka.
MGONJWA AKIOTA ANAMUONA MPISHI
hali yake itakua mbaya.
hali yake itakua mbaya.
UNAONA KISU
mafaninio.
mafaninio.
UNAMUONA PAKA
utaibiwa.
utaibiwa.
PAKA AMEKUUMA
utaletewa habali za uongo.
utaletewa habali za uongo.
UNAKULA KEKI
furaha na mafanikio.
furaha na mafanikio.
MSHUMAA UNAWAKA KISHA UKAZIMIKA
mambo yako yataharibika, kufilisika.
mambo yako yataharibika, kufilisika.
MGONJWA AKIOTA MSHUMAA UMEWASHWA
atapona.
atapona.
MSHUMAA AMBAO HAUJAWAKA
utapata zawadi nono.
utapata zawadi nono.
UNAONA WATOTO WENGI NDANI YA NYUMBA
kufungika kwa kizazi
kufungika kwa kizazi
UNAKUNYWA KAHAWA
marafiki zako ndo maadui zako.
MTOTO WA KIUME
marafiki zako ndo maadui zako.
MTOTO WA KIUME
-Mtu asiyekuwa na heshima,
-Adui,
-mali iliyofichwa,
-ushirikina,
-mabadiliko
-uwezo
-kiongozi mbaya
-Adui,
-mali iliyofichwa,
-ushirikina,
-mabadiliko
-uwezo
-kiongozi mbaya
MWANAMKE
-mtu anayeishi bondeni,
-uadui kutoka kwa wakwe zako, watoto au ni wivu kutoka kwa majirani zako.
-mtu anayeishi bondeni,
-uadui kutoka kwa wakwe zako, watoto au ni wivu kutoka kwa majirani zako.
UKIMUONA NYOKA
utadanganywa na mkeo au mumeo.
utadanganywa na mkeo au mumeo.
UNAPIGANA NA NYOKA
kuwashinda au kuwapindua adui zako.
kuwashinda au kuwapindua adui zako.
UNAKIMBIZWA NA NYOKA
uadui unaokujia kutoka kwa adui yako.
uadui unaokujia kutoka kwa adui yako.
UMEMUONA NYOKA MWENYE VICHWA SABA
kutenda dhambi au makosa makubwa.
kutenda dhambi au makosa makubwa.
UNAMUONA CHATU ANAKUSHAMBULIA
adui mwenye uwezo atakusumbua sana.
adui mwenye uwezo atakusumbua sana.
UNAMUINA CHATU ANAKUSHAMBULIA ILA AMESHINDWA KUKUUA
utapewa sifa za uongo.
utapewa sifa za uongo.
UMEMUUA CHATU
kuwashinda maadui zako.
kuwashinda maadui zako.
CHATU AMEJIKUNJA
-kupatwa na hatari au kifungo, kupata maradhi na kuchukiwa na watu.
-kupatwa na hatari au kifungo, kupata maradhi na kuchukiwa na watu.
CHATU AMELALA
adui aliyelala, hasa kwa mtu ambaye ni muovu.
adui aliyelala, hasa kwa mtu ambaye ni muovu.
NYOKA WA KWENYE MAJI
utapokea msaada au utapata uamuzi kuhusu jambo lako.
utapokea msaada au utapata uamuzi kuhusu jambo lako.
UNAFUGA AU UNAMILIKI NYOKA
kupata uwezo au madaraka.
kupata uwezo au madaraka.
NYAMA YA NYOKA
-fedha za adui
-kupata furaha.
-fedha za adui
-kupata furaha.
UMEVAA NGOZI YA NYOKA
utamgundua adui yako.
utamgundua adui yako.
UMEMUUA NYOKA NA DAMU YAKE IKAKURUKIA KWENYE MIKONO
utamshinda vibaya adui yako.
UMEMUONA NYOKA ANAULIWA BARABARANI
kutokea vita au ugomvi.
kutokea vita au ugomvi.
NYOKA MDOGO
matatizo kwa mtoto wako au mtoto yeyote unayemhudumia au kumsaidia.
matatizo kwa mtoto wako au mtoto yeyote unayemhudumia au kumsaidia.
UNAWINDA NYOKA
utamdanganya adui yako.
utamdanganya adui yako.
NYOKA MWEUSI
adui yako mwenye nguvu.
adui yako mwenye nguvu.
NYOKA MWEUPE
adui mnyonge.
adui mnyonge.
NYOKA ANAKUSEMESHA NA ANAKUAMBIA MANENO MAZURI
utapata bahati ya kukaa vizuri na adui zako na utanufaika nao
utapata bahati ya kukaa vizuri na adui zako na utanufaika nao
NYOKA ANAKUSEMESHA NA ANAKUKARIPIA KWA MANENO MAKALI
adui yako atakutesa na kukunyanyasa.
adui yako atakutesa na kukunyanyasa.
UMEGEUKA NYOKA
utatoka dini yako na kwenda dini nyingine.
utatoka dini yako na kwenda dini nyingine.
UMEGEUKA NUSU NYOKA NUSU MTU
utafanikiwa kupunguza nusu ya nguvu za adui yako.
utafanikiwa kupunguza nusu ya nguvu za adui yako.
UMEGUNDUA NGOZI YA NYOKA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA DHAHABU
utagundua mali iliyofichwa.
utagundua mali iliyofichwa.
NYOKA ANAKUMEZA
kupata madaraka makubwa ya uongozi.
kupata madaraka makubwa ya uongozi.
NYOKA AMEKUKALIA KICHWANI
kupata heshima kubwa kutoka kwa watu wenye madaraka au viongozi.
kupata heshima kubwa kutoka kwa watu wenye madaraka au viongozi.
UWANJA MKUBWA UMEJAA NYOKA
itanyesha mvua kubwa ambayo italeta madhara.
itanyesha mvua kubwa ambayo italeta madhara.
NYOKA MWENYE MAPEMBE
kupata mafanikio ya kibiashara.
kupata mafanikio ya kibiashara.
NYOKA MWEUSI NA CHATU
viongozi wa kijeshi.
viongozi wa kijeshi.
NYOKA WA MAJINI
pesa au utapata pesa.
pesa au utapata pesa.
SHAMBA LAKO LIMEJAA NYOKA
utapata mazao mengi msimu huo.
utapata mazao mengi msimu huo.
NYOKA ANAONDOKA NYUMBANI KWAKO
nyumba yako itavunjwa.
nyumba yako itavunjwa.
UMEMUUA NYOKA
-ndoa
-utawashinda adui zako na wote wanaokuchukia.
-ndoa
-utawashinda adui zako na wote wanaokuchukia.
UNAKULA NA NYOKA MEZA MOJA
utatengana na rafiki yako.
utatengana na rafiki yako.
UMEMUONA NYOKA JANGWANI
mtavamiwa na majambazi.
mtavamiwa na majambazi.
NYOKA AMEKUFA
Umeepushwa na uadui na shari yake
Umeepushwa na uadui na shari yake
NYOKA MDOGO
kupata mtoto
kupata mtoto
UMEMUUA NYOKA JUU YA KITANDA CHAKO
utafiwa na mkeo
utafiwa na mkeo
UMEMUUA NYOKA KWA FIMBO
utaoa
utaoa
UMEMUUA NYOKA KWA JIWE
kupona uchawi uliyonao na kutoka kwa jini mwilini mwako
kupona uchawi uliyonao na kutoka kwa jini mwilini mwako
UMEMUUA NYOKA KWA UPANGA NA KUMGAWA VIPANDE VITATU
utamtaliki mkeo talaka 3
utamtaliki mkeo talaka 3
JOKA KUBWA LINAJIZONGAZONGA MWILINI MWAKO
jini alioingia mwilini anatafuta sehemu ya kujificha
jini alioingia mwilini anatafuta sehemu ya kujificha
NYOKA ANAUNGUA KWA MOTO
kufanya kazi kwa maombi aliyofanyiwa mgonjwa
kufanya kazi kwa maombi aliyofanyiwa mgonjwa
UNAFUKUZWA NA NYOKA
Jini aliyekuingia hajakaa vizuri mwilini mwako, au ni jini Afriti, jini mbaya anakuandama
Jini aliyekuingia hajakaa vizuri mwilini mwako, au ni jini Afriti, jini mbaya anakuandama
UNA NYOKA SHINGONI MWAKO UKAMKATAKATA
utatoa talaka kwa mkeo
utatoa talaka kwa mkeo
KUOTA NYOKA MARA KWA MARA
una jini mahaba anakuandama mwilini mwako.
una jini mahaba anakuandama mwilini mwako.
UMETUMBUKIZWA KWENYE KISIMA
Ndugu zako wanataka kukutendea uadui, lakini kwa uwezo wa Mungu hawatafanikiwa.
Ndugu zako wanataka kukutendea uadui, lakini kwa uwezo wa Mungu hawatafanikiwa.
NDEGE AMEKUDONDOSHEA JIWE KICHWANI
Unaonywa kuwa unafanya yaliyovuka mipaka hivyo utaangamia.
NDEGE ANAKWAMBIA KITU
Habari anayokuambia ni ya kweli hivyo unatakiwa uifanyie kazi haraka.
Habari anayokuambia ni ya kweli hivyo unatakiwa uifanyie kazi haraka.
UNAAMBIWA KIAMA, WATU WENGI WANAKWENDA WASIPOPAJUA
unapewa onyo kuna jambo linalomchukiza Mungu unalifanya acha mara moja.
unapewa onyo kuna jambo linalomchukiza Mungu unalifanya acha mara moja.
KITU CHOCHOTE CHENYE NCHA KALI
habari mbaya za kifo, au kufungwa, ugonjwa, kufukuzwa kazi, kuibiwa, kutapeliwa, moto.
habari mbaya za kifo, au kufungwa, ugonjwa, kufukuzwa kazi, kuibiwa, kutapeliwa, moto.
KITU CHOCHOTE CHEUPE CHENYE KUNG'AA
kupata “bahati nzuri au mambo mazuri"
kupata “bahati nzuri au mambo mazuri"
KITU CHOCHOTE KICHAFU KISICHOPENDEZA
kupata bahati mbaya au mkosi.
kupata bahati mbaya au mkosi.
UNAPANDA JUU KWA NJIA YOYOTE
kupata mafanikio ya kimaisha, kadri unavyozidi kupanda ndiyo mafanikio yatakuwa zaidi.
kupata mafanikio ya kimaisha, kadri unavyozidi kupanda ndiyo mafanikio yatakuwa zaidi.
UNAANGUKA CHINI KWA NJIA YOYOTE
kukwama na kupata pingamizi katika mambo yako, kadri unavyozidi kwenda chini ndio kiwango cha kuharibikiwa kwa
mambo yako
kukwama na kupata pingamizi katika mambo yako, kadri unavyozidi kwenda chini ndio kiwango cha kuharibikiwa kwa
mambo yako
UNAFURAHI
mafanikio
mafanikio
HUZUNI
kupata bahati mbaya.
kupata bahati mbaya.
KABATI LIMEJAA
mambo yako yatakuwa mazuri.
mambo yako yatakuwa mazuri.
KABATI TUPU
mambo yako yatakuwa mabaya.
mambo yako yatakuwa mabaya.
MAJI YAMETULIA
mafanikio na bahati nzuri, utashinda kila kitu.
mafanikio na bahati nzuri, utashinda kila kitu.
MAJI YENYE MAWIMBI
Ugumu wa mambo na matatizo.
Ugumu wa mambo na matatizo.
MAJI MACHAFU
bahati mbaya. Katika jambo lako lolote unalotaka kufanya.
bahati mbaya. Katika jambo lako lolote unalotaka kufanya.
PINGAMIZI
mfano ukuta, mlango, kufuli, dirisha, bonde, milima, au uzio:
Ugumu na upinzani katika mambo yako
mfano ukuta, mlango, kufuli, dirisha, bonde, milima, au uzio:
Ugumu na upinzani katika mambo yako
MLANGO UNAFUNGUKA KIRAHISI
kupata upinzani mdogo,
kupata upinzani mdogo,
MLANGO UNAFUNGUKA KWA TABU
pingamizi kali au ugumu mkubwa katika
mambo yako.
pingamizi kali au ugumu mkubwa katika
mambo yako.
UNALIA
-utacheka
-utapata hasara katika jambo lako lolote.
-utacheka
-utapata hasara katika jambo lako lolote.
UNA WOGA
utapata ujasiri.
utapata ujasiri.
UMEKUA
utapata umasikini.
utapata umasikini.
UMEPOTEZA
utapata.
utapata.
UNAKULA NYAMA
punguza kusengenya watu.
punguza kusengenya watu.
UNAONA WATU WANAKULA NYAMA
Unasengenywa, angalia kasoro zako
Unasengenywa, angalia kasoro zako
UMEPATA MAFUA
una maadui wa kisirisiri.
una maadui wa kisirisiri.
UMEONA MAHINDI
utapata faida katika shughuli zako.
utapata faida katika shughuli zako.
UPO KWENYE UKUMBI WA MUZIKI
utapata habari nzuri toka kwa rafiki yako wa karibu.
utapata habari nzuri toka kwa rafiki yako wa karibu.
KIZA KINENE
utadanganywa au utatapeliwa.
utadanganywa au utatapeliwa.
MSIBA
harusi.
harusi.
MSIBA MARA KWA MARA
una jini maiti.
una jini maiti.
JINI LIMEKUDHURU AU UMELIOGOPA KUPITA KIASI
kuna hatari mbeleni, mabalaa.
kuna hatari mbeleni, mabalaa.
UMELEWA POMBE KUPITA KIASI
utapata marafiki wa maana na pia ni mafanikio kimapenzi.
utapata marafiki wa maana na pia ni mafanikio kimapenzi.
UNAMUONA MTU ANAZAMA NDANI YA MAJI
mikosi yako itaisha.
mikosi yako itaisha.
UNAONA FUNZA
kaa chonjo kuna maadui.
kaa chonjo kuna maadui.
UNAKULA
mikosi.
mikosi.
UNALISHWA KITU
ni kweli umelishwa.
ni kweli umelishwa.
UNAKUNYWA MAZIWA
utapata mafanikio.
utapata mafanikio.
MKEO ANA MATITI MAKUBWA
utapata mafanikio.
utapata mafanikio.
UMEPOTEZA PESA
utapata hasara kibiashara.
utapata hasara kibiashara.
UMEPATA PESA
mafanikio ila si kuokota.
mafanikio ila si kuokota.
UNAOKOTA PESA
utapata mikosi.
utapata mikosi.
UMEKUNJA CHUMA
umewashinda maadui.
umewashinda maadui.
NYOTA IMEANGUKA
afya njema.
afya njema.
UMEMUONA BATA MZINGA
ndoa yenu ni ya mafanikio na mtapata watoto wengi.
ndoa yenu ni ya mafanikio na mtapata watoto wengi.
UNANG'OKA JINO
utapoteza rafiki wa karibu.
utapoteza rafiki wa karibu.
UMENG'OKA MENO YA MBELE
utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukia.
utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukia.
UNAKUNYWA MAJI SAFI
utapata furaha.
utapata furaha.
UNAKUNYWA MAJI MACHAFU
matatizo yanakunyemelea.
matatizo yanakunyemelea.
UNAONA MAMBA
utapata maumivu.
utapata maumivu.
MWIBA UMEKUCHOMA
utapoteza pesa.
utapoteza pesa.
RADI IMEKUPUGA
umekumbwa na jini.
umekumbwa na jini.
UMEMUONA KOBE
biashara zako zitaenda plepole
biashara zako zitaenda plepole
UNAKULA KOBE
mtarekebisha tofauti zenu za ndoa.
mtarekebisha tofauti zenu za ndoa.
MWANAMKE ALIYEACHIKA AKIOTA ANAFUNGA NDOA
mikosi.
mikosi.
MGONJWA AKIOTA ANAMUOA MWANAMKE ALIYEACHIKA
atakufa.
atakufa.
UNALIA
furaha na upendo.
furaha na upendo.
MGONJWA AKIOTA ANAMUOA MSICHANA AMBAYE HAJAOLEWA
atapona
atapona
UNAONA KARATASI NYEUPE
utapata mke wa maana na watoto wa heri.
utapata mke wa maana na watoto wa heri.
UNACHANA KARATASI
utaendekeza umalaya.
utaendekeza umalaya.
UNATEMBEA KWENYE BARABARA NYOOFU
mafanikio mbele yako, afya njema.
mafanikio mbele yako, afya njema.
NJEGERE ZIMEPIKWA
mafanikio.
mafanikio.
UNAKULA MKAA
utapata mikosi, umelishwa kitu.
utapata mikosi, umelishwa kitu.
UNAONA VITUNGUU
utapata habari njema.
utapata habari njema.
MWANAUME AKIOTA ANAONA VITUNGUU
atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
UNACHIMBA KABURI
jini maiti, pia kuna tabia ambayo unaifanya si nzuri itakuingiza katika wakati mgumu.
jini maiti, pia kuna tabia ambayo unaifanya si nzuri itakuingiza katika wakati mgumu.
UNALIMA KWA NG'OMBE
mafanikio.
mafanikio.
WATU WANALIMA JUU YA MLIMA
utapoteza mifugo.
utapoteza mifugo.
UMEPEWA TUNDA DAMU CHACHU
utagombana na rafiki yako.
utagombana na rafiki yako.
TAJIRI AKIOTA ANASALI
furaha
furaha
MASIKINI AKIOTA ANASALI
matatizo na mikosi.
matatizo na mikosi.
MWANAUME AKIOTA ANACHOTA MAJI KISIMANI
ataoa.
ataoa.
MWANAMKE AKIOTA ANACHOTA MAJI KISIMANI
ataolewa.
ataolewa.
UNAKUNYWA WISKI
mikosi, mabalaa, majuto.
mikosi, mabalaa, majuto.
UPEPO WA KIMBUNGA
utaoa mke mwenye makelele.
utaoa mke mwenye makelele.
TAJIRI AKIOTA AMEBEBA MBAO
mikosi
mikosi
MASIKINI AKIOTA AMEBEBA MBAO
bahati.
bahati.
UNAANDIKA
jihadhari na kauli zako.
jihadhari na kauli zako.
UNAPIGA MIAYO
rafiki zako wamekuchoka.
rafiki zako wamekuchoka.
UNAONA KITU CHOCHOTE CHA NJANO
mafarakano katika mapenzi yenu.
mafarakano katika mapenzi yenu.
UNAMUONA PUNDAMILIA
kua mwangalifu katika maisha yako.
kua mwangalifu katika maisha yako.
UNAONA NDIMU
utapata ugomvi au kutukanwa.
utapata ugomvi au kutukanwa.
UNAONA MWANAMKE BIKRA
utapata habari njema.
utapata habari njema.
MASIKINI AKIOTA ANATAPIKA
atapata pesa
atapata pesa
TAJIRI AKIOTA ANATAPIKA
atafilisika.
atafilisika.
VITA
matatizo na huzuni.
matatizo na huzuni.
UNAMUONA MAMA MKWE
utaugua.
utaugua.
UNAONGEA NA MAMA YAKO VIZURI
utafanikiwa kwa lolote.
utafanikiwa kwa lolote.
MPISHI YUKO NDANI YA NYUMBA
utaoa mwanamke wa maana, matatizo yako yataondoka.
utaoa mwanamke wa maana, matatizo yako yataondoka.
MGONJWA AKIOTA ANAMUONA MPISHI
haliyake itakua mbaya.
haliyake itakua mbaya.
UNAONA KISU
mafanikio.
mafanikio.
UNAMUONA PAKA
utaibiwa.
utaibiwa.
PAKA AMEKUUMA
utaletewa habari za uongo.
utaletewa habari za uongo.
UNAKULA KEKI
furaha na mafanikio.
furaha na mafanikio.
MSHUMAA UNAWAKA KISHA UKAZIMIKA
mambo yako yataharibika, kufilisika.
mambo yako yataharibika, kufilisika.
MGONJWA AKIOTA MSHUMAA UMEWAKA
atapona.
atapona.
MSHUMAA AMBAO HAUJAWASHWA
utapata zawadi nono.
utapata zawadi nono.
UNAONA WATOTO WENGI NDANI YA NYUMBA
kufungika kwa kizazi.
kufungika kwa kizazi.
PANYA ANATOKA NA KUINGIA NDANI
mkeo ni mzinifu.
mkeo ni mzinifu.
UMEOKOTA AU UNACHEZEA FUNGUO
utapata neema.
utapata neema.
MWILI UMEKOSA NGUVU KAMA UMEPOOZA
kupoteza control katika maisha
kupoteza control katika maisha
UNAANGUKA
mambo katika maisha yako hayaendi vizuri kikazi, kimahusiano au masuala ya fedha.
mambo katika maisha yako hayaendi vizuri kikazi, kimahusiano au masuala ya fedha.
UMETOKA MENO
una uoga wa kujiona hauna mvuto, inaweza kuhusiana na hisia ya kujiona umefedheheshwa na kitu maishani mwako.
UNAKIMBIZWA
unaepuka hisia inayokutisha ama ikuumizayo, mtu ama jambo fulani baya.
unaepuka hisia inayokutisha ama ikuumizayo, mtu ama jambo fulani baya.
MAJI
mabadiliko au vitu vipya, kubadilika mambo/vitu katika maisha yako.
mabadiliko au vitu vipya, kubadilika mambo/vitu katika maisha yako.
VYOMBO VYA USAFIRI
muelekeo ambao maisha yanatupeleka.
muelekeo ambao maisha yanatupeleka.
UNAJISAIDIA HAJA NDOGO
utaondokewa na matatizo madogomadogo.
utaondokewa na matatizo madogomadogo.
KUANGUKA KISIMANI
Utakumbwa na huzuni na masikitiko mwishowe utapata furaha.
Utakumbwa na huzuni na masikitiko mwishowe utapata furaha.
KUZAMA KWENYE MAJI SAFI YA BAHARI
utazama katika mambo ya utawala na serikali.
utazama katika mambo ya utawala na serikali.
KUZAMA KWENYE MAJI TAKA YA BAHARI
utapata tabu itakayokusababishia kuangamia.
utapata tabu itakayokusababishia kuangamia.
KUNGURU
mtu fisadi na asiyekuwa na haya.
mtu fisadi na asiyekuwa na haya.
KIZINGITI CHA MLANGO KIMEKUTOKEA
mwanamke wako atakutoroka.
mwanamke wako atakutoroka.
UBAVU WAKO UMECHOMOZA
mwanamke wako atakutoroka.
mwanamke wako atakutoroka.
UNAKULA MAJANI
utakula mtaji wa biashara yako.
utakula mtaji wa biashara yako.
UNAKULA MKAA
utapata maradhi ya tumbo.
utapata maradhi ya tumbo.
UNAUZA MKAA
utafilisika.
utafilisika.
UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
adui yako atakushinda.
adui yako atakushinda.
UNAMWINGILIA MWANAUME MWENZIO KINYUME NA MAUMBILE
utamshinda adui
utamshinda adui
MISIBA MARA KWA MARA
una majini wachafu.
una majini wachafu.
UNAPIGANA HALAFU UNAPAA
kuna uadui unakunyemelea, wanga wanakuwangia lakini una viumbe wanao kusaidia.
kuna uadui unakunyemelea, wanga wanakuwangia lakini una viumbe wanao kusaidia.
VISIKI VINGI VIKO NJIANI
kuna watu wanaokwamisha mipango yako.
kuna watu wanaokwamisha mipango yako.
UNAKULA NYAMA YA MTU
msengenyaji.
msengenyaji.
UNAPIGANA NA RADI KISHA UKAISHINDA
kuna jini alitaka kukuingia lakini kashindwa.
kuna jini alitaka kukuingia lakini kashindwa.
UNAKABWA
huyo ni jinamizi, ila ukimjua anayekukaba huyo ni mwanga.
UNAKIMBIZWA NA WANYAMA WAKALI:
Mashambulizi ya kipepo na nguvu za giza vimejizatiti dhidi ya maisha yako.
huyo ni jinamizi, ila ukimjua anayekukaba huyo ni mwanga.
UNAKIMBIZWA NA WANYAMA WAKALI:
Mashambulizi ya kipepo na nguvu za giza vimejizatiti dhidi ya maisha yako.
KUONA DAMU:
-hatari mbele
-kifo na ajali.
-hatari mbele
-kifo na ajali.
MAMA MJAMZITO KUOTA ANAONA DAMU
Mimba yake itaharibika
Mimba yake itaharibika
KUZINGIRWA NA NYUKI:
shambulizi la kiroho na kutofanikiwa kimaisha.
shambulizi la kiroho na kutofanikiwa kimaisha.
KUOGA:
utakaso wa rohoni (utakatifu).
utakaso wa rohoni (utakatifu).
KUPOTEZA MSAHAFU/BIBLIA:
kurudi nyuma kiroho na kukosa imani.
kurudi nyuma kiroho na kukosa imani.
PAKA:
wachawi wanafuatilia maisha yako.
wachawi wanafuatilia maisha yako.
KUIBIWA TAJI:
-kupoteza umaarufu na kurudi nyuma.
-kushushuka cheo kiofisi, kiuchumi au kisiasa.
-kupoteza umaarufu na kurudi nyuma.
-kushushuka cheo kiofisi, kiuchumi au kisiasa.
MLANGO WA OFISI YAKO UMEFUNGWA:
-utapoteza kibali au kufukuzwa kazi
-biashara yako itakufa
-utapoteza kibali au kufukuzwa kazi
-biashara yako itakufa
JENEZA:
roho ya mauti inafuatilia maisha yako au umpendaye
roho ya mauti inafuatilia maisha yako au umpendaye
AGANO:
kifungo cha kiroho.
kifungo cha kiroho.
MSALABA:
mzigo mkubwa na shida/tabu.
mzigo mkubwa na shida/tabu.
GIZA:
-kuchanganyikiwa na kurudi nyuma.
-kuzorota kiroho.
-kuchanganyikiwa na kurudi nyuma.
-kuzorota kiroho.
DENI/KUDAIWA:
kudorora kiuchumi, kufilisika.
kudorora kiuchumi, kufilisika.
KUCHEZA NA MBWA AU KUMBEBA MBWA
roho chafu ya uzinzi
roho chafu ya uzinzi
NDUGU ALIYEKUFA:
uwepo wa mzimu wa familia.
(Uwe mwangalifu, unaoweza kuona kama unapewa taarifa muhimu ndotoni, lakini MUNGU hatumii njia za kipepo kusema na watu)
uwepo wa mzimu wa familia.
(Uwe mwangalifu, unaoweza kuona kama unapewa taarifa muhimu ndotoni, lakini MUNGU hatumii njia za kipepo kusema na watu)
KUNYWA POMBE:
kupenda ya dunia
kupenda ya dunia
ALAMA ZA KIPEPO:
magereza ya kiroho na kutumikishwa na mapepo.
magereza ya kiroho na kutumikishwa na mapepo.
PUNDA:
ugumu wa mateso au shida katika maisha.
ugumu wa mateso au shida katika maisha.
MITIHANI:
majaribu na hali, kipindi kigumu.
majaribu na hali, kipindi kigumu.
KUPAA:
kutawaliwa na wachawi, shambulizi la kiroho, huenda utachanganyikiwa.
kutawaliwa na wachawi, shambulizi la kiroho, huenda utachanganyikiwa.
KUVUA SAMAKI:
kuhubiri neno la MUNGU
MOTO:
kuhubiri neno la MUNGU
MOTO:
kupoteza na majanga.
KUPOKEA MAUA TOKA JINSIA NYINGINE:
Kama siyo mwenzi, huenda huyohuyo ndiye atakaye kuja kua wa maisha
Kama siyo mwenzi, huenda huyohuyo ndiye atakaye kuja kua wa maisha
KUPIGWA RISASI IKAKUJERUHI:
-udhaifu wa kiroho
-shambulizi na maadui wamejipanga kuharibu maisha yako.
-udhaifu wa kiroho
-shambulizi na maadui wamejipanga kuharibu maisha yako.
KUPIGWA RISASI ISIKUJERUHI:
ulinzi wa kiUNGU na ushindi juu ya adui zako.
ulinzi wa kiUNGU na ushindi juu ya adui zako.
KUVUNA:
Baraka za Mungu.
Baraka za Mungu.
ASALI:
Afya na mafanikio maishani mwako.
Afya na mafanikio maishani mwako.
NYUMBA TUPU:
hali ngumu na umaskini.
hali ngumu na umaskini.
KUJIFICHA:
maadui wanapigana/wanafuatilia maisha yako lakini uko chini ya ulinzi wa MUNGU.
maadui wanapigana/wanafuatilia maisha yako lakini uko chini ya ulinzi wa MUNGU.
SAFARI ISIYOKUWA NA MWISHO:
unachofanya au unachotaka kufanya itakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
KUPOTEZA FUNGUO:
Mlango wa baraka zako utafungwa. Hali hiyo ikakuletea hitimisho la mipango chanya, matarijio na matumaini yako kuhusu mafanikio.
Mlango wa baraka zako utafungwa. Hali hiyo ikakuletea hitimisho la mipango chanya, matarijio na matumaini yako kuhusu mafanikio.
FUNGUO NYINGI:
Baraka za fursa nyingi zinakusubiri maishani mwako.
Baraka za fursa nyingi zinakusubiri maishani mwako.
KUPOTEZA PESA AU MALI:
-Mambo mabaya
-Wezi wanaweza kuiba pesa au vitu vyako.
-unataka kufanya biashara isiyo sahihi
-kuangukia kwenye mitego ya matapeli na makundi ya mafisadi.
-Mambo mabaya
-Wezi wanaweza kuiba pesa au vitu vyako.
-unataka kufanya biashara isiyo sahihi
-kuangukia kwenye mitego ya matapeli na makundi ya mafisadi.
MZIGO:
hali mbaya katika mateso na umasikini.
hali mbaya katika mateso na umasikini.
UNAPEWA MSAADA WA PESA:
kibali, neema maalumu na mpenyo wa kipesa mbele yako.
kibali, neema maalumu na mpenyo wa kipesa mbele yako.
KUONA MAITI:
mauti inakufuatilia wewe, au inamfuatilia uliyemwona kwenye ndoto.
mauti inakufuatilia wewe, au inamfuatilia uliyemwona kwenye ndoto.
UKICHAA:
-mvurugano katika maisha yako.
-shetani anataka/yuko tayari kukudhuru.
-mvurugano katika maisha yako.
-shetani anataka/yuko tayari kukudhuru.
UNACHEZA NA WATU WENYE VICHAA:
shambulizi la kiroho ili kukusambaratishia amani na utulivu.
shambulizi la kiroho ili kukusambaratishia amani na utulivu.
UNAKIMBIZWA NA WAHUNI:
nguvu za giza na wachawi wanajaribu kukuharibu(kukuua).
nguvu za giza na wachawi wanajaribu kukuharibu(kukuua).
RUNGU:
nguvu, ukakamavu kiroho na ulinzi wa kiungu.
nguvu, ukakamavu kiroho na ulinzi wa kiungu.
UNAFUNGA NDOA NA MTU USIYEMJUA:
mume/mke wa kipepo
mume/mke wa kipepo
UNAFUNGA NDOA NA UNAYEMJUA ILA ANA NDOA YAKE:
kufanya kosa kubwa katika ndoa.
kufanya kosa kubwa katika ndoa.
UNAFUNGA NDOA NA UNAYEMJUA NA HANA NDOA:
mwenzi wa maisha.
mwenzi wa maisha.
MJAMZITO KUOTA MIMBA YAKE IMETOKA/HARIBIKA:
Asiichuklie kirahisi, inaweza kutokea kiuhalisia.
Asiichuklie kirahisi, inaweza kutokea kiuhalisia.
UCHI/KUVUA NGUO:
aibu au fedheha
aibu au fedheha
UMESHAMBULIWA NA SIMBA UKAFANIKIWA KUMUUA:
umemshinda na kumua mtu aliyekuwa anataka kuharibu maisha yako.
umemshinda na kumua mtu aliyekuwa anataka kuharibu maisha yako.
KUONA BUNDI:
-ubaya
-kitu kibaya kitatokea.
-ubaya
-kitu kibaya kitatokea.
MTU UNAYEMJUA ANAKUFUKUZA ANATAKA KUKUUA:
-mtu huyo anaweza kuwa hana mawazo mazuri juu yako.
-wachawi hutumia sura ya mtu yeyote.
-mtu huyo anaweza kuwa hana mawazo mazuri juu yako.
-wachawi hutumia sura ya mtu yeyote.
UNACHEZA NA NGURUWE AU KUONA NGURUWE:
uchafu kiroho, uzembe na kutokuwa makini katika maisha ya kiroho.
uchafu kiroho, uzembe na kutokuwa makini katika maisha ya kiroho.
SHIMO:
mipango mibaya dhidi yako.
mipango mibaya dhidi yako.
KUCHEZA NA NYOKA:
umefungwa/unatawaliwa na yule nyoka shetani.
umefungwa/unatawaliwa na yule nyoka shetani.
KONOKONO:
kudumaa na kuzuiliwa kwa maendeleo au kukua kwa mtu.
kudumaa na kuzuiliwa kwa maendeleo au kukua kwa mtu.
SHULE:
unahitaji kupata mafunzo ili kufanya vizuri katika taaluma yako katika maisha.
unahitaji kupata mafunzo ili kufanya vizuri katika taaluma yako katika maisha.
KURUDI SHULE ZA MADARASA YA CHINI:
kudumaa, yaani badala au kupiga hutua mbele unarudi nyuma kimaendeleo.
kudumaa, yaani badala au kupiga hutua mbele unarudi nyuma kimaendeleo.
MAJOKA:
umetawaliwa na roho za majini, umeingia au umeingizwa kwenye agano hilo la mapepo/ majini ya pwani baharini au mtoni.
umetawaliwa na roho za majini, umeingia au umeingizwa kwenye agano hilo la mapepo/ majini ya pwani baharini au mtoni.
NYOTA:
ukuu.
ukuu.
MOSHI:
shutuma na majaribu.
shutuma na majaribu.
MVUA KUBWA YA MAWE ILIYOAMBATANA NA RADI:
matatizo na kuchanganyikiwa siku za usoni.
matatizo na kuchanganyikiwa siku za usoni.
KIJIJI CHAKO WAKATI UNAISHI MJINI
laana za mizimu zinajitokeza kukurudisha nyuma.
laana za mizimu zinajitokeza kukurudisha nyuma.
KUNGURU:
kifo au mauti mbele yako.
kifo au mauti mbele yako.
MWANANDOA KUPOTEZA PETE YA NDOA:
kuwa mwangalifu sana na ndoa matatizo ya ndoa mbele yako.
kuwa mwangalifu sana na ndoa matatizo ya ndoa mbele yako.
UMEPEWA PETE YA NDOA UJANANI:
Utafunga ndoa hivi karibuni, wa ndotoni ndiye mwenzi wako wa maisha
Utafunga ndoa hivi karibuni, wa ndotoni ndiye mwenzi wako wa maisha
KUTEMBEA BILA VIATU:
shetani anataka kukuchanganya kukupa aibu na hali ngumu.
shetani anataka kukuchanganya kukupa aibu na hali ngumu.
CHAKULA NDOTONI:
unafanya maagano kwenye ulimwengu wa roho, hasa mikataba ya kichawi.
unafanya maagano kwenye ulimwengu wa roho, hasa mikataba ya kichawi.
Email: Rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp: +255 783 930 601
Whatsapp: +255 783 930 601
Ahmed Salum;
Rakims